Acid reflux ni tatizo linaloanzia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (Gastrointestinal system) na kuathiri mifumo mingine ya mwili.
Mifumo ya mwili inayoathiriwa na acid ni kama ifuatavyo :⤵️⤵️
1. Mfumo wa fahamu *(Central nervous system)*
2. Mfumo wa moyo *(Cardiovascular system)*
3. Mfumo wa upumuaji *(Respiratory system)*
4. Mfumo wa mifupa na misuli *(Musculoskeletal system)*
5. Mfumo wa pua,koo na masikio *(ENT)*
DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA FAHAMU UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Kusahau mara kwa mara.
2. Macho kupunguza uwezo wa kuona.
3. Kupata ganzi kwenye vidole vya mikono na miguu
4. Kuhisi kuchanganyikiwa *(CONFUSION)*
5. Mwili kuchoma choma
6. Kuwa na wasiwasi na khofu bila sababu za msingi
DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MOYO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kupaparika ( *Heart palpitations)*
2. Presha kupanda *(temporary hypertension)*
3. Kupata Kizunguzungu
4. Maumivu ya kifua
5. Kupata ganzi mkono wa kushoto
6. Kuhisi Mapigo ya moyo yapo chini sana
DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA UPUMUAJI UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Kupumua kwa shida.
2. Mafua ya mara kwa mara
3. Kupata kwikwi za mara kwa mara
4. Mafua yasiyoisha
5. Kikohozi kisichoisha
6. Maumivu makali ya kifua
DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA MISULI NA MIFUPA UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Maumivu makali ya mgongo.
2. Maumivu ya viungo.
3. Kuchoka mara kwa mara.
4. Sehemu za mwili kuchezacheza kama vile chini ya macho nk.
DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MFUMO WAKO WA PUA, MASIKIO NA KOO UMEATHIRIWA NA ACID REFLUX:
1. Maumivu makali ya koo.
2. Kuhisi kitu kimekwama kooni.
3. Kupata Tonsillitis *(mafidofido)* mara kwa mara.
4. Kupata ugumu wa kumeza chakula.
5. Kuhisi masikio mazito.
6. Masikio kupiga kelele.
7. Mafua yasiyoisha.
