Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya JIFUNZE KUTENGENEZA KIAZI CHA BINZALI NYEMBAMBA ( CUMIN au JEERA)

JIFUNZE KUTENGENEZA KIAZI CHA BINZALI NYEMBAMBA ( CUMIN au JEERA)

Picha
 RECIPE SAFI KABISA YA KIAZI HIKI KWA MATUMIZI YA NYAMA CHOMA MAHITAJI 500 gram viazi vidogo vidogo osha vizuri na usivimenye 1 kijiko kikubwa binzali nyembamba (cumin seeds) 1 kijiko kidogo cha chai unga wa pili pili (chilli powder sio lazima) 1 kijiko kikubwa cha chakula unga wa giligilani (coriander powder) 1 kijiko kidogo cha chai mchanganyiko wa tangawizi na kitunguu swaumu (ginger-garlic paste) 1kitunguu kikubwa katakata 1/2 kijiko kidogo cha chai ungwa wa turmeric 5 gram za chumvi  JINSI YA KUANDAA FATILIA MAFUNZO HAPO CHINI Chemsha viazi mpaka viive wastani. Hakikisha haviivi vikapondeka Katika kikaango weka mafuta yakupikia yachemke, kisha kaanga mbegu za binzali nyembamba (cumin seeds) zikishabadilika na kua na rangi ya kahawia na harufu safi ongeza kitunguu maji na a ginger-garlic paste pamoja na chumvi kaaanga mapaka vilainike. Kisha weka unga wa tumeric, unga wa giligilani na unag wa pili pili. kumbuka kuweka kijiko kimoja kikubwa cha maji ili viu...