Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Amefunguka Hapa

Diamond Platnumz 'Atundikiwa Dripu Kisa Zari', Amefunguka Hapa

Picha
Kupitia mtandao wa Instagram, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameandika kuhusu 'kutundikiwa dripu' kisa mapenzi ya Zari ambaye ni mama wa mtoto wake. Ameandika haya "A very Special Mother's day to this Beautiful and Humble soul of Mine @zarithebosslady ... i wish you can understand how much i love you, Mpaka natiwa Dripu😥....wenyewe wanasema kuzaa sio tija, ila kumpata Mwanamke akajua kumlea mtoto wako Vyema ndio kazi inakuwaga hapo... Shukran sana kwa zawadi hii kubwa ya Mtoto mzuri na kuendelea kumlea vizuri..... sjui na lile jipu pia Ntumbue😃.... aaagh! Anyway'z😝🙋 tutakutana Mbeleni😆" -tubongetz