Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Umoja wa Vijana CCM Wamjibu Zitto Kabwe Baada ya Kuwatuhumu Kumchamfua Kwa Kutumwa na Waziri Kitwanga

Umoja wa Vijana CCM Wamjibu Zitto Kabwe Baada ya Kuwatuhumu Kumchamfua Kwa Kutumwa na Waziri Kitwanga

Picha
UVCCM NI TAASISI IMARA HAIWEZI KUTUMIKA NA MTU KINYUME NA MASLAHI YA CHAMA AMBAYO PIA NI MASLAHI YA  NCHI. Nimeona taarifa ya Kaka Zitto kabwe akielezea hoja zake kwa msingi wa kukana kumhujumu Rais Magufuli na kuwa waliotoa taarifa hizo wanatumiwa na mmoja wa Mawaziri ( ) wa Serikali ya awamu ya tano.  Kaka Zitto ameenda mbali zaidi akiandika,namnukuu   “maneno hayo yanaenezwa na watu wanaotumwa na Waziri(anamtaja jina) nina ushahidi usio na mashaka wa waziri( ) kupanga vijana wanaojiita wa UVCCM kufanya Mikutano  na waandishi wa habari na anawalipa fedha kufanya hivyo” mwisho wa nukuu.  Mosi, nimpongeze Mh. Zitto Kabwe kukana kwa sauti ya juu kabisa kuwa hampingi Rais Magufuli na anamuunga mkono katika Ujenzi wa Nchi kama alivyofanya kwa Serikali ya awamu ya nne.Kama ni kweli na lipo kwa matendo Ni jambo jema sana kwa maslahi ya nchi yetu ambalo wapinzani wengine wanapaswa kuliiga.  Pili,Nimthibitishie pasi na shaka ndugu Zitto Kab...