Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WALIOJIBADILISHA JINSIA WATAKA KUTAMBULIWA JINSIA MPYA WANANYANYASIKA PAKISTAN.

WALIOJIBADILISHA JINSIA WATAKA KUTAMBULIWA JINSIA MPYA WANANYANYASIKA PAKISTAN.

Picha
Nchini Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ya kujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo.