UHONDO: JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE “KILELENI”
Na Zuhura Simba Asilimia Kubwa ya Wanawake huwa wana tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya Kufika huko hawaijui. Utasikia wanajifanya kwa kutoa Sauti za kimahaba kama “baby am Comming” basi wanaume mabichwa yanakuwa makubwaa ndio anajiona bonge la dume la Ngo’mbe. Hii inapelekewa kutojua wamefanikiwa kuwaridhisha wapenzi wao au wanadanganywa. Dalili hizi ndio Kinga ya Kujua kama Mwanamke kafika kileleni: Misuli ya Uke wake Inakaza na kuachia ; Mwanamke akiwa anafika kileleni kutokana na raha atakayoisikia hatoweza kujizuia, Ninavyosema Misuli kukaza naamaanisha atajikuta kadiri anavyokaribia kileleni na Spidi ya Kukaza inaongezeka maana Uume unapokuwa Ukeni ‘Automatically’ Mwanaume atahisi ‘Machine ‘ yake kubanwa na kuachiwa. Kelele na Miguno ya Kimahaba lazima Huzidi ; Kama Mwanamke wako ni ‘full’ makelele mpaka mwisho basi ni ishara ya kuwa umemfikisha kileleni, Hapa lakini ndo wanaume wengi huwa wanaibiwa s...