Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HIZI NDIO NJIA KUU NNE ZA KUONDOA MICHIZIRI YA KWENYE NGOZI

HIZI NDIO NJIA KUU NNE ZA KUONDOA MICHIZIRI YA KWENYE NGOZI

Picha
Michirizi ya ngozi ni nini? hizi ni alama ambazo huonekana kwenye ngozi baada ya kuchanika kwa moja ya ngozi ya ndani kitaalamukama dermis. michirizi hii hutokea mara nyingi baaada ya mbadiliko ya mwili ya ghafla kama kunenepa, kunyenyua vyuma chuma, kubeba mimba na kadhalika. alama zake hazina madhara kiafya lakini hazipendwi na watu ambao wanapenda mambo ya urembo hasa wasichana hivyo leo tutaenda kuzungumzia kwa kifupi matibabu ya hali hiyo kama ifuatavyo. 1. Tumia mmea wa aloe vera; mmea huu unapatikana maeneo mengi sana nchini na umekua ukitumiwa na jamii mbalimbali tangu zamani kutibu magonjwa mbalimbali kama vidonda, ngozi,tumbo na kadhalika na umethibitika kusaidia watu wengi waliotumia mmea huu. Jinsi ya kutumia.. kata ganda la mmea wa alo evera na chukua maji yake ya ndani kisha paka sehemu iliyoathirika na uache kwa dakika 15 kisha osha na maji lakini pia kama uko sehemu ambayo mmea huu haupatikani au hutaki usumbufu huu basi tumia losheni yenye aloevera ili upake kama ...