Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2016

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA|T MEDIA NEWS

Picha
NIKAJIWEKA katika kundi la warembo wasioshikika baada ya wanaume kadhaa kunisifia kuwa mimi ni mrembo haswa!! Shilingi zao zikazidi kunipanda kichwani na kunifanya niwe na kiburi ambacho sikujua kama ni kiburi hadi mama yangu aliponiweka kitako na kunitamkia wazi kuwa hapendezwi na tabia zangu. Amini! Sikujua kama nimebadilika na kuwa na tabia mbovu, ningeziona vipi kama nilikuwa nazipenda na marafiki wananisifu kila wakati?? Waalimu walikuwa wa kwanza kuniwania, mkuu wa shule akafanikiwa na hatimaye akaitoa bikra yangu nikiwa kidato cha pili tu! Matokeo yangu yakawashangaza wazazi wangu, usiku sisomi lakini matokeo yangu yalikuwa mazuri.  Uchi wangu uliyaleta matokeo haya, mkuu wa shule alinipa ahadi hii kuwa nitakuwa nafanya vizuri katika masomo yangu yote.  Ilikuwa shule binafsi bila shaka waalimu walitii alichowaamuru. Hatimaye akanijaza mimba, sikujua kama ni mimba hadi dada mkuu aliponivuta kando na kunieleza kuwa nina kila dalili ya mimba. Nikamwendea mkuu wa s...

RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 19 & 20

Picha
Mtunzi:EDDAZARIA G.MSULWA ILIPOISHIA... “Sheila nakuomba unipe nafasi nijielezeee” “SITAKI NASEMA EDDY TOKA NDANI KWANGU” Sheila alizungumza huku akinisukuma kitandani na sikuwa na kipingamizi nikashuka huku machozi yakinilenga lenga na kuichukua surualia yangu na kuivaa taratibu.Nikachukua shati langu na kuliweka begani na huku begi langu nikiwa nimelishika mgongoni. “Sheila ninaondoka huu usiku na umenifukuza mimi kama mwizi…Ila ninakuombea maisha mema.Mimi ngoja nikalale pembeni mwa geti lako ili huu usiku upite nakuomba kwa hilo” Nilizungumza huku machozi yakinimwagika na nikafungua mlango na kutoka taratibu huku nikiwa siamini kiu kilicho nitokea ENDELEA.... .....Nikaendelea kupiga hatua za taratibu hadi nikafika getini na kusimama baada ya kuisikia sauti ya Sheila ikiniita “Eddy unataka kwenda wapi?” “Kwani wewe unataka kujua hivyo kama nani?” “Hapana Eddy mpenzi wangu ninakuomba unisamehe ni hasi...

UHONDO: JINSI YA KUMFIKISHA MWANAMKE “KILELENI”

Picha
Na Zuhura Simba Asilimia Kubwa ya Wanawake huwa wana tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya Kufika huko hawaijui. Utasikia wanajifanya kwa kutoa Sauti za kimahaba kama  “baby am Comming”   basi wanaume mabichwa yanakuwa makubwaa ndio anajiona bonge la dume la Ngo’mbe. Hii inapelekewa kutojua wamefanikiwa kuwaridhisha wapenzi wao au wanadanganywa. Dalili hizi ndio Kinga ya Kujua kama Mwanamke kafika kileleni: Misuli ya Uke wake Inakaza na kuachia ;  Mwanamke akiwa anafika kileleni kutokana na raha atakayoisikia hatoweza kujizuia, Ninavyosema Misuli kukaza naamaanisha atajikuta kadiri anavyokaribia kileleni na Spidi ya Kukaza inaongezeka maana Uume unapokuwa Ukeni ‘Automatically’   Mwanaume atahisi  ‘Machine ‘ yake kubanwa na kuachiwa. Kelele na Miguno ya Kimahaba lazima Huzidi ; Kama  Mwanamke wako ni ‘full’ makelele mpaka mwisho basi ni ishara ya kuwa umemfikisha kileleni, Hapa lakini ndo wanaume wengi huwa wanaibiwa s...

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU

Picha
Tunda  la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu. NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.  Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets Andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu   baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni  uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu Ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe  andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe Weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa. FAIDA YA JUISI YA UKWAJU. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer) Chanzo cha Vitamini B na C vi...

JINSI YA KUPUNGUZA UZITO NA KUTOA KITAMBI KWA NJIA SALAMA NA YA KUDUMU (MWONGOZO KAMILI WA AFYA BORA2026)|T MEDIA NEWS

Picha
Kama wewe msomaji umeshakata tamaa kabisa ya kupunguza uzito baada ya kujaribu njia mbalimbali bila mafanikio, napenda nikuhakikishie kwamba kupunguza uzito na kutoa kitambi inawezekana kabisa na siyo jambo gumu kama watu wengi wanavyodhani. Kinachohitajika ni kuelewa mwili wako na kubadilisha mfumo wa maisha yako kwa ujumla. Leo nataka kukupa elimu muhimu sana ambayo ukiifuata kwa makini, utaona mabadiliko makubwa katika mwili wako. Mimi kama mtaalamu wa afya, pia nimewahi kupitia changamoto ya unene mkubwa miaka ya nyuma, hivyo ninachokueleza hapa si nadharia tu bali ni mambo niliyoyapitia na kujifunza kwa uzoefu. Kiukweli, unene unaleta matatizo mengi—uchovu wa mara kwa mara, kupungua kwa kujiamini, jamii kukutazama tofauti, ugumu wa kupata mavazi yanayokutosha, na hata wakati mwingine kuathiri fursa za kazi au mahusiano. Lakini habari njema ni kwamba unene una kanuni rahisi sana: 👉 Ukila zaidi kuliko unavyotumia = unanenepa 👉 Ukila kidogo na kutumia nguvu zaidi = unapungua uzito...

HIZI NDIO NJIA KUU NNE ZA KUONDOA MICHIZIRI YA KWENYE NGOZI

Picha
Michirizi ya ngozi ni nini? hizi ni alama ambazo huonekana kwenye ngozi baada ya kuchanika kwa moja ya ngozi ya ndani kitaalamukama dermis. michirizi hii hutokea mara nyingi baaada ya mbadiliko ya mwili ya ghafla kama kunenepa, kunyenyua vyuma chuma, kubeba mimba na kadhalika. alama zake hazina madhara kiafya lakini hazipendwi na watu ambao wanapenda mambo ya urembo hasa wasichana hivyo leo tutaenda kuzungumzia kwa kifupi matibabu ya hali hiyo kama ifuatavyo. 1. Tumia mmea wa aloe vera; mmea huu unapatikana maeneo mengi sana nchini na umekua ukitumiwa na jamii mbalimbali tangu zamani kutibu magonjwa mbalimbali kama vidonda, ngozi,tumbo na kadhalika na umethibitika kusaidia watu wengi waliotumia mmea huu. Jinsi ya kutumia.. kata ganda la mmea wa alo evera na chukua maji yake ya ndani kisha paka sehemu iliyoathirika na uache kwa dakika 15 kisha osha na maji lakini pia kama uko sehemu ambayo mmea huu haupatikani au hutaki usumbufu huu basi tumia losheni yenye aloevera ili upake kama ...

YAJUE MADHARA MAKUBWA YATOKANAYO NA UTOAJI MIMBA

Picha
Utoaji wa mimba limekuwa jambo sugu na linalokuwa kwa kasi sana hasa kwa wasichana bila kufahamu madhara yake.sababu kuu ya kutoa mimba ni kupata ujauzito bila kuwa na mpango maalumu na mwenza wake, wasichana  wengi Hubeba mimba shuleni. jambo lakushangaza Imekuwa la kawaida sana kwa watu walio kwenye mahusiano, kwani wamekuwa wakipuuzia matumizi ya kinga kwa kujidanganya utamu  wa mapenzi kupungua,wakati huohuo wakijua kuna madhara mengi sana kufanya Tendo hilo bila kuzingazitia matokeo baada ya uzembe huo…  Madhara yanayoambatana na utoaji mimba ni vifo, kupoteza damu nyingi, kifafa cha uzazi na maambukizi hatarishi katika mfuko wa uzazi au mirija ya uzazi. Haya yote yanaambatana na homa kali na maumivu makali, kutunga usaha kwenye kizazi na kulazimika kufanyiwa upasuaji wa dharura au haraka kitaalamu; kikubwa mara nyingi ni kifo. Mhusika kama akipona kutokana na athari ya kuichokonoa mimba visivyo au kwa nguvu sana, wakati mwingine husababisha uharibifu wa ...

LADIES: Hizi ni Dalili 11 Mpenzi Wako Anataka Akufanye Uwe Mke Wake...Soma Hapa

Picha
Ukiotea story kwenye vikao vya wanawake, utasikia wakisema wanaume wanaooa siku hizi wamekuwa wachache. Kwamba wengi tunapenda kuwachezea tu. Lakini wapo wanaume ambao wanataka kutulia na mwanamke mmoja na kumfanya awe mke wake. Sasa utajuaje kuwa boyfriend wako anakupenda kiasi cha kutaka uwe mke wake? 1. Huweka mipango ya baadaye Anapoanza kuzungumza mipango yake ya baadaye, ni ishara kuwa angependa ajue mtazamo wako na mtazamo wako una uzito kwake. 2. Unaalikwa kwenye kila tukio Unakuwa mtu wa pili kwenye kila matukio muhimu. Hii inamaanisha kuwa anakuona una umuhimu kwenye maisha yake. Anataka kukutambulisha kwa familia yake na kukufanya ujisikie kuwa na wewe ni sehemu yake. 3. Yuko Makini Kama mpenzi wako anazingatia muda, ni lazima anakukubali sana. Pindi mwanaume anapokuwa kwenye uhusiano serious, atahakikisha kuwa mwanamke wake hamsubiri. Atahakikisha unajua kama atachelewa na hatokuchomesha mahindi. 4. Kuna ongezeko la ukaribu Itaonekana kama mlipoanza kuwa pa...

Usipojiandaa Kwa Mabadiliko Haya, Hakuna Wa Kukusaidia Katika Maisha yako

Picha
Dunia imekuwa ndogo sana,bila kujali utaiita kitu gani. Kama utaita utandawazi, sayansi na teknolojia, demokrasia zaidi, uchumi wa soko, teknolojia ya habari au chochote, ukweli unabaki kuwa huo. Ni jambo la kusikitisha sana kuona wasomi na wanasiasa ambao kwa bahati mbaya naweza kusema hawana jipya sana kwa jamii, wakilaumu serikali kwenye suala la utandawazi.   Nijuavyo mimi, mabadiliko ya kijamii hayawezi kuzuiwa na mtu, hata kama angekuwa na uwezo wa kiwango gani, labda anachoweza ni kufanya uharibifu wa kuwafuja watu na matokeo yake ya kawaida hayapendezi sana. Hakuna mtu ambaye angeweza kuzuia mfumo wa maisha holela ya binadamu wa awali ambapo mali ilikuwa ni kiwango cha nguvu za mwili alizokuwa nazo binadamu. Yule aliyeweza kuua Tandala kwa jiwe ndiye aliyekuwa akiheshimiwa na kufikia mafanikio kirahisi. Hakuna ambaye angeweza kuzuia mfumo huo kuupisha ule wa uchifu, ambapo mwenye kauli na uwezo wa karibu kabisa kufanikiwa alikuwa ni mtu yeyote kutoka ukoo wa kichifu. Ha...

Sababu 10 za Maumivu ya Tumbo Wakati wa Mimba

Picha
Maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba ni  mojawapo ya matatizo yanayolalamikiwa na kina mama wengi.Kuna matatizo mengi  ambayo yanahusiana tu na mimba, hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba hali yoyote ambayo husababisha maumivu katika mgonjwa asiyekuwa na ujauzito inaweza pia kutokea kwa mama mjamzito, ingawaje historia  na uchunguzi vinaweza kuwa tofauti. Kwa asili kutathmini    maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito  ina changamoto kwa sababu kichefuchefu, kutapika, na maumivu ya tumbo hujitokeza mara nyingi kwa wajawazito wengi . Mfuko wa uzazi unapotanuka unaweza kusukuma  viungo vingine kando ndani ya tumbo, upungufu wa damu na leukocytosis ni  kawaida katika mimba ya kawaida na si viashiriwa vya upungufu wa  damu au maradhi. Mgonjwa ambaye mimba imetunga nje ya mfuko kipimo cha ultrasound kinaonyesha majimaji na  uchafu ndani ya mfuko wa uzazi bila ushahidi wa mimba.   Kiinitete kinapojipandikiza katika ...

JINSI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KUHARA KWA WATOTO

Picha
Katika magonjwa ambayo huwasumbua watoto mara kwa mara ni ugonjwa wa kuhara, lakini habari njema ni kuwa ugonjwa huu humalizika ndani ya siku chache mtoto anapohudumiwa vyema. Lakini pamoja na hayo ni vyema kujua jinsi ya kumsaidia mtoto anayekabiliana na ugonjwa huu na jinsi ya kuwakinga wale wasio na ugonjwa.  Ni nini kinachosababisha ugonjwa wa kuhara? Kuhara ni ugonjwa ambao husababishwa kwa kiasi kikubwa na aina ya virusi, lakini pia yaweza kua bacteria au vimelea vinginevyo vya magonjwa. Mtoto(mgonjwa) hupata choo mara nyingi ambacho ni majimaji. Aina ya vijimelea vinavyosababisha kuhara kwa watoto hutegemea eneo la kijiografia kulingana na viwango vya usafi wa mazingira, hali ya kiuchumi na usafi wa mwili. Kwa mfano nchi zinazoendelea ambapo hali ya usafi wa mazingira ni duni na maeneo ambayo kinyesi cha binadamu hutumika kama mbolea, hukabiliana na milipuko ya magonjwa ya kuhara mara kwa mara kwa sababu taka hizi zitokanazo na binadamu ni rahisi kuingia katika vyakula n...

HIZI NDIO TABIA TISA ZINAZOSABABISHA VIJANA WA SIKU HIZI KUZEEKA HARAKA

Picha
sasa hivi ukifanya utafiti mdogo tu hakuna mtu anayependa kuzeeka, iwe mwanaume au mwanamke lakini pia uzee ni kitu ambacho kinaleta sana msongo wa mawazo kwani ukiangalia picha zako kipindi una miaka 18 na sasa hivi una miaka 35 au 40 tayari umeshaona mabadiliko makubwa sana kwenye mwili yako lakini pia hofu ya kifo kwani unajua kinachofuata baada ya uzee ni kifo tu. japokua uzee haukwepeki leo hii kuna watu wana miaka 20 lakini wanaonekana wana miaka 30. hii ni dalili mbaya sana na huambatana na tabia zifuatazo mara nyingi. kutofanya mazoezi kabisa; kiasili sisi binadamu ni wavivu, yaani watu wote wanaofanyakazi ni kwasababu wanajua wasipofanya kazi watalala njaa. lakini vizuri haviji bure hata utajiri unataka mateso kuupata. maana yangu ni kwamba mazoezi ndio yanafanya ngozi zetu na miili yetu iendelee kua kakamavu lakini pia huzuia uzito ambao ndio moja ya vyanzo vikuu vya unene.binadamu yeyote  anatakiwa afanye mazoezi angalau dakika 20 kwa siku. usisingizie kazi au kwamba ...

Tabia 10 zinazoharibu Figo

Picha
Tabia 10 zinazoharibu Figo Kubana mkojo muda mrefu Kutokunywa maji ya kutosha kila siku Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango Kula nyama mara nyingi Kutokula chakula cha kutosha Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu Kunywa pombe kupita kiasi Kutopata muda wa kutosha kupumzika Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.