Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2017

SMS ZA MAHABA MAZITO

Picha
Ni kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba unampenda,unamkumbuka na unamjari sana.  hizi ziguatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na ni furaha yangu kusikia u hali gani ......................... ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyo...