Sehemu ya pili( 02) Endelea Nayo Sarah chumbani kwake aliwaza kwa muda sana akijiuliza kama Wangesi anasimamisha jogoo lake hakuweza kupata jibu la moja kwa moja maana wangesi alikuwa busy sana na maisha yake Kitu ambacho marafiki wa kiume walianza kumchukua kulingana na kutoungana nao katika suala la kufuatilia wasichana miezi ilienda na mwaka ulikaribia kuisha Mtihani wa mwisho ulifanyika wa kuhitimu ufundi wangesi alikuwa mtu wa pili kwa ufaulu mzuri wenzake wote waliokuwa wakimcheka waliangukia pua hawakuweza kufauli mtihani ule Sarah nae hakufanikiwa kujua ukweli kwa wangesi kama yuko sawa Baada ya mitihani kuisha wangesi alielekea nyumbani kwao huku akiwa na vyeti vizuri cheti cha udereva na utengenezaji magari alijisemea hapa malengo yangu yanaelekea kutimia sana maana njia hii nitahakikisha nafanya vitu vya maana . Wangesi alivyofika nyumbani akiendelea na kazi zake na alipokuwa akilima ilikuwa ni karibia na barabara sema tu ni bar...
NIKAJIWEKA katika kundi la warembo wasioshikika baada ya wanaume kadhaa kunisifia kuwa mimi ni mrembo haswa!! Shilingi zao zikazidi kunipanda kichwani na kunifanya niwe na kiburi ambacho sikujua kama ni kiburi hadi mama yangu aliponiweka kitako na kunitamkia wazi kuwa hapendezwi na tabia zangu. Amini! Sikujua kama nimebadilika na kuwa na tabia mbovu, ningeziona vipi kama nilikuwa nazipenda na marafiki wananisifu kila wakati?? Waalimu walikuwa wa kwanza kuniwania, mkuu wa shule akafanikiwa na hatimaye akaitoa bikra yangu nikiwa kidato cha pili tu! Matokeo yangu yakawashangaza wazazi wangu, usiku sisomi lakini matokeo yangu yalikuwa mazuri. Uchi wangu uliyaleta matokeo haya, mkuu wa shule alinipa ahadi hii kuwa nitakuwa nafanya vizuri katika masomo yangu yote. Ilikuwa shule binafsi bila shaka waalimu walitii alichowaamuru. Hatimaye akanijaza mimba, sikujua kama ni mimba hadi dada mkuu aliponivuta kando na kunieleza kuwa nina kila dalili ya mimba. Nikamwendea mkuu wa s...
Mtunzi:EDDAZARIA G.MSULWA ILIPOISHIA... “Sheila nakuomba unipe nafasi nijielezeee” “SITAKI NASEMA EDDY TOKA NDANI KWANGU” Sheila alizungumza huku akinisukuma kitandani na sikuwa na kipingamizi nikashuka huku machozi yakinilenga lenga na kuichukua surualia yangu na kuivaa taratibu.Nikachukua shati langu na kuliweka begani na huku begi langu nikiwa nimelishika mgongoni. “Sheila ninaondoka huu usiku na umenifukuza mimi kama mwizi…Ila ninakuombea maisha mema.Mimi ngoja nikalale pembeni mwa geti lako ili huu usiku upite nakuomba kwa hilo” Nilizungumza huku machozi yakinimwagika na nikafungua mlango na kutoka taratibu huku nikiwa siamini kiu kilicho nitokea ENDELEA.... .....Nikaendelea kupiga hatua za taratibu hadi nikafika getini na kusimama baada ya kuisikia sauti ya Sheila ikiniita “Eddy unataka kwenda wapi?” “Kwani wewe unataka kujua hivyo kama nani?” “Hapana Eddy mpenzi wangu ninakuomba unisamehe ni hasi...
Maoni
Chapisha Maoni