Tabia 10 zinazoharibu Figo


Tabia 10 zinazoharibu Figo

Kubana mkojo muda mrefu
Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango
Kula nyama mara nyingi
Kutokula chakula cha kutosha
Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu
Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
Kunywa pombe kupita kiasi
Kutopata muda wa kutosha kupumzika

Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU|T MEDIA NEWS

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA|T MEDIA NEWS

RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 19 & 20