Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Matokeo ya Mechi Kati ya Chelsea na Bournemouth Haya Hapa...

Matokeo ya Mechi Kati ya Chelsea na Bournemouth Haya Hapa...

Picha
Kiungo wa Chelsea, Willian akimvisha kanzu kipa wa Bournemouth, Boruc kumalizia pasi ya Fabregas kuifungia Chelsea katika ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Pedro, Hazard mawili na Willian, huku la wenyeji likifungwa na Elphick Uwanja wa