Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya BASATA YAWAPONGEZA WASANII LULU NA RICH RICH KUSHINDA TUZO ZA AMVCA 2016.

BASATA YAWAPONGEZA WASANII LULU NA RICH RICH KUSHINDA TUZO ZA AMVCA 2016.

Picha
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Wasanii Singo Mtambalike (Rich Rich) na Elizabeth Michael (Lulu) kwa kushinda tuzo za African Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCA2016) zilizotolewa mwishoni mwa wiki nchini Nigeria na kushuhudiwa na Dunia kupitia luninga na mitandao ya kijamii. Katika tuzo hizo Msanii Singo Mtambalike ameshinda tuzo ya Filamu Bora ya Lugha ya Asili (Best Local Language - Swahili) kupitia filamu ya ‘Kitendawali’ huku Msanii Elizabeth Michael (Lulu) akishinda tuzo ya Filamu Bora ya Afrika Mashariki (Best Movie -Eastern Africa) kupitia filamu yake ya ‘Mapenzi’ Kuteuliwa na kushinda kwa Wasanii wa Tanzania katika tuzo hizi zilizoshirikisha wasanii na filamu nyingi za Afrika ni ishara kwamba wasanii wetu wanakubalika, kutambuliwa na kuthaminiwa ndani na nje ya Tanzania. Aidha, ushindi huu unazidi kulipa heshima na kulitangaza taifa letu katika nyanja mbal...