Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Serikali Kuajiri Watumishi 71

Serikali Kuajiri Watumishi 71, 496 Kuanzia Julai Mwaka Huu

Picha
SERIKALI itaajiri watumishi wa kada mbalimbali 71,496 mwaka wa fedha 2016/17.Hayo yalisemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Issaay. Mbunge huyo alihoji kuwa nafasi za watendaji wa vijiji na kata zimekuwa wazi ni kwanini serikali isione umuhimu wa kutoa nafasi kwa vijana waliomaliza vyuo kuanza kujitolea katika kipindi cha mpito ili baadae waingie kwenye mfumo wa ajira.    Kairuki alisema pamoja na ufinyu wa bajeti, serikali katika mwaka ujao wa fedha unaoanza Julai, mwaka huu, itaajiri watumishi wa kada mbalimbali, wakiwamo watendaji wa vijiji na kata ambapo ajira zao zitaanza kutolewa mwezi huu.     “Serikali imekuwa ikipandisha kima cha chini cha mshahara kulingana na uwezo wa bajeti (mapato ya ndani) na kwa kuzingatia gharama za maisha,”  alisema.    Kairuki alisema maombi ya nafasi za ajira serikalini hufany...