Tatizo la Kunuka Kikwapa..Tiba yake Hii Hapa..
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa. Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako. Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbayaVaa nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu zitasaidia kufyonza unyevu na kuliacha kwapa lako kavu, safi na bila harufu mbayaOga kila siku na safisha nguo kwa maji safi itasaidia kuua bakteria na ambao husababisha harufu mbayaKunywa maji mengi kila siku yatakusaidia kutoa sumu mwilini na hivyo kupunguza harufu mbaya ya kwapa.Osha kwapa mara kwa mara kwa kutumia sabuni zenye dawa (medicated soaps)Punguza kula chakula chenye v...