Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya PICHA 7: Samuel Eto’o kafunga ndoa leo June 14 2016

PICHA 7: Samuel Eto’o kafunga ndoa leo June 14 2016

Picha
Staa wa zamani wa vilabu vya  FC Barcelona  na Chelsea   Samuel Eto’o  leo June 14 2016 amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu  Georgette Tra Lou ,  Eto’o  amefunga ndoa na kuhudhuriwa na staa mwenzake wa zamani wa  FC Barcelona   Carlos Puyol  na mkewe,  Eto’o na mkewe wamefunga ndoa leo  Stezzano Italia . Puyol na mkewe