Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya SERIKALI ITAENDELEA KUTHAMINI NA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MICHEZO YOTE

SERIKALI ITAENDELEA KUTHAMINI NA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MICHEZO YOTE

Picha
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Alex Nkenyenge akimuelezea jambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakati wa hafla ya uzinduzi wa mashindano ya mbio za magari za Alliance Auto MMSC Rally Mzunguko wa Pili jana jijini Dar es Salaam. Ambapo zaidi ya  magari 15 yanashiriki katika viwanja vya vilivyopo wilayani Bagamoyo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akisikililiza kwa makini maelezo kuhusu mbio za magari za Alliance Auto MMSC Rally kutoka kwa Mratibu wa mashindano hayo ambaye pi ni Mwenyekiti wa Mzizima Motors Sports Club Bi. Hidaya Kamaga (katikati) jana jijini Dar es Salaam. Aliyesimamani ni mshiriki wa mashindano hayo kutoka Timu ya Puma Energy Bw. Dharam Pandya. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiangalia moja ya magari yanayotumika katika mbio za magari za Alliance Auto MMSC Rally jana jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Haba...