Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MEYA WA ILALA ATUMBUA WATATU KWA USIMAMIZI MBOVU WA BARABARA

MEYA WA ILALA ATUMBUA WATATU KWA USIMAMIZI MBOVU WA BARABARA

Picha
Mstahiki Meya Wilaya ya Ilala Charles Kuyeko. Dhana ya kutumbua majipu ni wimbo unaopendwa na watanzania wengi, naimani watanzania bado hawajalisahau jipu lililo tumbuliwa jana na Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa daraja la Nyerere, ambapo ame msimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Wilson Kabwe. Kutumbua majipu hakuchagui dini, rangi wala kabila, au itikadi yeyote ile hivi ndivyo anavyo uthibitishia umma wa watanzania wengi Mstahiki Meya wa Ilala Charles Kuyeko baada ya kuwatumbua watumishi watatu wa manispaa hiyo kwa usimamizi mbovu wa miradi ya barabara za wilaya hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mstahiki Meya Kuyeko amesema wilaya yake imejipanga kusimamia miradi ya maendeleo katika wilaya hiyo na kuwanufaisha wanachi wote, hivyo kutokana na kikao kilichofanywa na madiwani mwishoni wa wiki wameadhimia kumsimamisha kazi Mhandisi mkuu Japhari Mwigane na watumishi wengine ambao ni Siajari Mahili na Daniel Kiligiti. Mstahiki Meya Wilaya ya Ilala...