Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Lungi amtumia Snura kuwabipu Waislam

Lungi amtumia Snura kuwabipu Waislam

Picha
Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga. Na Hamida Hassan Wakati Waislam wakipiga vita kitu kinachoitwa Vunja Jungu, msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga ameandaa shoo hiyo huku akimtumia Mwanamuziki Snura Mushi. Snura Mushi Lungi aliitonya safu hii kuwa, anajua Waislam hawapendi sherehe hizo lakini yeye ameamua kufanya ili kuwatafutia watoto yatima pesa ya futari. “Najua Waislam watanimaindi na kuna ambao wameshaanza kuniambia nawachokonoa Waislam lakini sina nia mbaya, lengo ni kuwasaidia watoto yatima na nitafanya hivyo mwisho wa mwezi ndani ya Ukumbi wa Travertine Magomeni Dar,” alisema Lungi.