Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Video ya Wimbo ‘Jike Shupa’ ya Nuh Mziwanda Yamtoa Povu Shilole. Ipo Hapa

Video ya Wimbo ‘Jike Shupa’ ya Nuh Mziwanda Yamtoa Povu Shilole. Ipo Hapa

Picha
Shilole na Nuh wakati wapo pamoja Ikiwa ni siku chache toka Ex wa Shilole, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na mpenzi wake huyo, Shilole ameonyesha kukasirishwa na kazi hiyo. Nuh amethibitisha kwamba Shilole ndiye aliyemuimbia kwenye wimbo huo, kwa kumtumia video queen anayefanana na Shilole kama pacha katika video ya wimbo huo. Video queen wa video ya wimbo ‘Jike Shupa’ anayedaiwa kufanana na Shilole akiwa na Nuh Sholole baada ya kuona video hiyo, aliandika ujumbe instagram ambao baadae aliutoa: Wale unaongozana nao wanaweza kuwa mizigo au Baraka. Shukrani za dhati kwani kwenye mashabiki zangu ambao ni baraka na pole sana wasanii wote mnaodhani bado tupo dhama za kutumia mgongo wa mtu mwingine kuweza kutoboa. Kipaji siyo maneno ila ni vitengo. Umemiss mkong’oto?. Sipendagi mwanaume mjinga ndiyo maana umekula mkong’oto wa kutosha… Mshamba usiyejua hata kubadilisha boxer, niweke mbali na ma...