Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Umoja wa Mataifa afichua uraia wa askari walionajisi watoto wadogo

Umoja wa Mataifa afichua uraia wa askari walionajisi watoto wadogo

Picha
Katika ripori yake ya kila mwaka iliyotolewa jana Ijumaa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alikri rasmi kwa mara ya kwanza kwamba askari wa kulinda amani wa umoja huo waliwabaka na kuwatumikisha vibaya katika ngono wanawake na ametoa wito wa kufanya marekebisho kwa ajili ya kuwawajibisha askari wa kulinda amani wanaotenda vitendo hivyo viovu na kuwasaidia na kuwahami wahanga wake.Shirika la Human Rights Watch (HRW) llimeripoti kuwa, miongoni mwa hatua zinazotazamiwa kuchukuliwa ni kuweka masharti magumu katika kuteua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na kuharakisha mwenendo wa uchunguzi unaohusiana na vitendo hivyo. HRW inasema kuwa, hii ni mara ya kwaza katika historia ya Umoja wa Mataifa kwa Katibu Mkuu wake kufichua wazi uraia wa askari wa kulinda amani wanaobaka na kuwatumia vibaya wasichana na wanawake wakiwa na vazi na umoja huo, kwani awali mazungumzo ya Umoja wa Mataifa na nchi za askari wa kulinda amani wanaotenda vitendo hivyo viovu yalikuwa yakifanyika kwa siri.Sara Taylor amba...