Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya katibu Mkuu Ujenzi Afanya ziara ya Kushtukiza katika Mitambo ya Kupimia Mafuta.....Ataka Taarifa Ndani Ya Siku Mbili Uharibifu Wa Flow Meter Na Camera Bandarini

katibu Mkuu Ujenzi Afanya ziara ya Kushtukiza katika Mitambo ya Kupimia Mafuta.....Ataka Taarifa Ndani Ya Siku Mbili Uharibifu Wa Flow Meter Na Camera Bandarini

Picha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi) Mhandisi Dkt. Leornad Chamuriho ameupa siku mbili uongozi wa Bandari unaosimamia Mita ya Kupimia mafuta nchini (Flow Meter) iliyoko Kigamboni jijini Dar es salaam kuhakikisha kuwa unatoa taarifa ndani ya siku mbili kuhusu hitilafu iliyojitokeza kwenye mfumo wa kufungua valvu za mita hiyo upande wa umeme. Aidha, ameuagiza uongozi huo kutoa taarifa kuhusu hitilafu ya kamera 2 za usalama zilizoungua na kushindwa kufanya kazi kwa takribani mwezi mzima. Katibu Mkuu huyo ametoa maagizo hayo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika mita hiyo eneo la mji Mwema Kigamboni leo jijini Dar es salaam na kubaini upungufu wa utendaji wa baadhi ya maeneo. Maeneo hayo ni pamoja na  kamera za kufuatilia mwenendo wa usalama wa mita hiyo, valvu zilizoshindwa kufanya  kazi upande wa mfumo wa umeme hivyo kubakiwa na njia ya analoji kutokana na hali ya mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha jijini Dar es salaam. “If...