RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFANYA ZIARA YA KICHAMA PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusnini Pemba leo alipofika kuwashukuru wanachama cha Mapinduzi CCM kwa ushindi waliompatia katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 29/05/2016. Wanachama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya chakechake Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza nao leo, wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro leo kuwapongeza kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.]29/05/2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na wanachama cha Mapinduz...