Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Hii Hapa Ndio Hali ya Msanii CHID BENZ Baada ya Kukaa Sober House Kwa Mwezi Mmoja...

Hii Hapa Ndio Hali ya Msanii CHID BENZ Baada ya Kukaa Sober House Kwa Mwezi Mmoja...

Picha
Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na alivyokuwa mwanzo kabla hajapelekwa...  Ikumbukwe kuwa Meneja wa Diamond na Tip Top Babu Tale ndio aliyeamua kumsaidia baada ya Chid kuonekana kwenye TV akiwa katika hali iliyowatisha watu wengi na kuhoji amekubwa na nini kwani mwili wake ulionekana kudhoofu sana na kukonda kupita kiasa..