Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya mwanzo wa kutengeneza gari

Mwanzo wa kutengeneza gari

Picha
Motokaa Ford Mondeo  ni motokaa ndogo ya kubeba abiria wachache, kwa mfano familia  ndogo. Magari kama Toyota Landcruiser hujengwa juu ya fremu ya lori dogo kwa kusudi la kubeba watu kwenye njia mbaya. Motokaa  (kutoka  Kiingereza  "motor car" [1] , mara nyingi huitwa tu  gari ) ni chombo cha usafiri  kinachotembea kwenye nchi kavu kikitumia nguvu ya injini au mota yake. Kuna aina nyingi za motokaa; magari madogo hubeba abiria tu na gari dogo la kawaida hubeba dereva pamoja na abiria hadi wanne. Magari makubwa kidogo hubeba hadi watu 8. Mengine ya kubeba abiria ni mabasi ambayo ni pia aina ya motokaa lakini mara nyingi hutajwa kama kundi la pekee, sawa na malori ambayo ni motokaa kubwa za kubeba mizigo. Kuna kila aina ya mchanganyiko kati ya aina hizi. Fremu ya motokaa pamoja na magurudumu, bila injini wala bodi . Muundo Historia ya motokaa Edit Kwa karne nyingi watu walitumia magari yaliyovutwa na wanyama kwa mfano  farasi , punda ...