Jinsi ya Kuchepuka Bila Kukamatwa!
Baada ya taarifa kuenea mitandaoni kuwa mkuu wa kanisa letu anatuhumiwa kubeba mrembo wa watu, nimeona kuna emergency ya kuandika juu ya hii mada. Lengo langu sio ku promote uchepukaji, but no, my position is, mtu anapochepuka humkosea Mwenyezi Mungu, lakini pia humkosea mwenzi wake. Unapomkosea Mwenyezi Mungu ni rahisi kusamehewa ukiomba msamaha, na Mungu anaweza akakupa ka adhabu mambo yakaisha. Kimbembe mpenzi wako akikudaka, sio rahisi sana kurejesha mahusiano mema na mpenzi wako, that is why am here to 'prevent a major catastrophes' btn you and your partner from happening: Rule No 1 ya kuchepuka bila kudakwa Usinogewe na penzi la mchepuko! Mwizi huwa hadakwi siku ya kwanza. Wengi wanaochepuka huwa wananogewa na kujisahau mpaka wanaanza kupiga piga simu na kutuma text hovyo. Mara hujiachia na kujisahau kuwa wanachofanya kinatakiwa kiwe siri. Ukiona umeshaanza kunogewa na penzi la mchepuko, au yeye keshaanza konogewa na wewe, piga chini, ni bora utafute mchepu...