Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI ( CDF CUP – 2016) JIJINI DAR ES SALAAM

NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI ( CDF CUP – 2016) JIJINI DAR ES SALAAM

Picha
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia wanamichezo wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mwakilishiwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja jenerali Simoni Mumwi akihutubia wakati wa ufunguzi wa  mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia picha yake aliopewa na kikundi cha sanaa  wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup – 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. ...