Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HILI NDIO KALIO LA WEMA LILILOZUA GUMZO NA KUMLAZIMU MAMA YAKE KUFUNGUKA MAZITO

HILI NDIO KALIO LA WEMA LILILOZUA GUMZO NA KUMLAZIMU MAMA YAKE KUFUNGUKA MAZITO

Picha
Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweli. MADAI YALIPOANZA Tangu alipoanza kuongezeka unene miaka ya karibuni, baadhi ya watu, wakiwemo mashoga zake wamekuwa wakimtuhumu Wema kupaka dawa hizo kwa lengo la kutunisha wowowo. MANENO YAKAHAMIA MITANDAONI Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe. PATI YA INSTAGRAM MWANZA IKAKOLEZA Kama vile haitoshi, bado siku za hivi karibuni, Wema alitua jijini Mwanza kwa ajili ya shoo ya Pati ya Instagram mjadala huo ukazidi kuwa mkubwa baada ya nyota huyo kutinga ukumbini akiwa amevaa gauni jeupe la kubana na hivyo kumchonga shepu. Baadhi ya watu walioingia kwenye shughuli hiyo walisema hakuna shaka We...