Madame Rita kaingia kwenye utangazaji na show yake ya TV kuonekana soon
Kwa miaka yote Tanzania imemjua kupitia show ya Bongo Star Search akiwa kama Jaji ambayo mara yake ya mwisho ilikua inaonekana kupitia CloudsTV, leo hii Madame Rita anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba anaingia na kwenye utangazaji. Muonekano wa studio kunakofanyika show ya RPS Show hiyo mpya ya Rita Paulsen ambayo itaanza kuonekana soon kwenye AzamTV inaitwa Rita Paulsen Show au RPS na June 12 2016 ndio imetajwa kuwa terehe yenyewe. Rita Paulsen na crew yake Studio Studio Studio Wakati studio inajengwa