Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Tulidanganywa Kutakuwa na Mabasi yanayoenda Kasi

Tulidanganywa Kutakuwa na Mabasi yanayoenda Kasi

Picha
Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo ya kasi watatuletea lini?  Haya si haba hayasimami vituo ving sana kama daladala na hayana traffic jam but hayana kasi ambayo nlidhania yangekuwa nayo kama yanavyoitwa.  Kwa wale tulioenda nje ya nchi nadhan tunafaham train za kasi... Nlidhan at least hata kwa asilimia 40 tungekuwa na basi za namna hiyo. Kwa nini mlitudanganya?