Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kumbe Madee Alimkwichikwichi na Shilole na Nuhu Kuwafumania

Kumbe Madee Alimkwichikwichi na Shilole na Nuhu Kuwafumania !

Picha
Aisee hii hata mimi nilipitwa nayo ama kweli mimi mapenzi basi nimeyavulia Shati akuu mapenzi sio ubondia bora nijitoe  Leo akihojiwa na Diva clouds Fm Mziwanda amekiri kuwa Madee alitembea na Shilole kipindi wapo wote na Aliwafumania na kumkuta mmoja wao akiwa hana nguo,Diva anakiri kusikia hizo habari ila alitaka Nuh athibitishe Nuh anasema inauma sana ila ana muheshimu sana Madee ana Muheshimu pia Shilole japo Inauma sasa wali kwichi kwichi na kuwafumania  Oyo nitakupigia nitakupia baadae noma noma noma sanaaaaa  Hapa Miguu pande hapa Say my name Shishi hapa Jike shupa oyooooo