Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NCHI 10 ZINAZOONGOZA DUNIANI KWA KUWA NA WAREMBO WAZURI.JE TANZANIA IPO WAPI?

NCHI 10 ZINAZOONGOZA DUNIANI KWA KUWA NA WAREMBO WAZURI.JE TANZANIA IPO WAPI?

Picha
Asikwambie mtu WANAWAKE ni miongoni mwa vitu vilivyo umbwa na Mungu ambavyo ni vizuri sana,Na vinabaki kuwa vizuri hata kama vikienda wapi..Hata hivyo kwa nchi nyingine wanavuka mipaka na hata kuwa kama MALAIKA!! na kama huamini We tembelea nchi hizi tu utakubali tu...!!! Sweden Swedeni ndiyo nchi inayochukuliwa kuwa ndiyo nchi yenye watu WAZURI naposema wazuri namaanisha WANAWAKE na WANAUME KWA DUNIA NZIMA... Ukikutana na mwanamke wa kutoka Sweedeni waweza kusema ni malaika kumbe ni binadamu tu.Ni warefu, macho ya blue nyele za kaki,wako smart sana na wako friendly..nani nchi yenye wasichana wenye AKILI SANA DUNIANI LOL BRESSED! Argentina Ukraine Russia Bulgaria Hii nayo ni miongoni mwa nchi inayopatikana mashariki mwa ulaya..yenye wasichana warembo sana na wembamba kidogo..wanapenda kutabasamu na wanapenda sana vimichezomichezo hivi..wachangamfu inshort.. Thailand Thailand inaweza kufahamika kwa utamaduni wake,milazake safi pia wana ukarimu sana.Sio hayo tu bali pia...