Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni Mali ya Mtei, Kimejengwa kwa Misingi ya Unafiki na Nidhamu ya Woga
Ameandika Josephine Mshumbushi mke wa Dr.W.Slaa katika ukurasa wake rasmi wa Facebook Kwa Vijana wa CHADEMA! Salaam, Miaka 15,iliyopita sikuwahi kujua watoto wangu wataishi kuyasoma maandiko yangu nakunihoji au kuniuliza maswali. Leo hii inatokea. Ngoja niweke kumbukumbu sahihi!!!! Kitendo cha kuwaita watu wasaliti ni kwakuwa mtu umeshindwa hoja ya kumshawishi akubaliane na wewe. (Don't let personal hangups sidetrack the negotiations) Na hili ndilo limekuwa anguko la CHADEMA toka nilipokijua chama hicho! Mawazo au maamuzi ya mtu hayahojiwi. Kwanini unaitwa mtu mzima!!!!! Ni kwa kigezo kwamba sasa unaweza kufanya maamuzi yako bila shinikizo. Maamuzi ya mtu lazima yaheshimiwe japo mengine yamekuwa magumu kuyakubali. "In one of my job interview I was asked,how do you feel when you are asked to fire somebody" .........very sad,however decisions have to be made for things to move foward."...