Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema
Hizi Hapa ni Sababu Zitakazokufanya Wewe Binti Usiolewe Mapema ★1. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa. Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! ★2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizaramo kwanza mnatutisha tu. ★3. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume, yani ukiguswa kidogo tu twende. ★4. Kuwa na picha karibia 500 Facebook, Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo, Haaaaa! ★5. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook account yako au Instagram na nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost. ★6. Ni mtu wa maneno maneno yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani? ★7. Huna mawazo ya malengo endelevu yani we kwenye bichwa lako kumejaa umbea tu sijui l...