Zitto Kabwe Ajitokeza Adai Polisi Wanamsaka..Asema Magufuli Alienda Rwanda Kujifunza Kubana Upinzania
DAR: Zitto Kabwe ajitokeza, adai Polisi wanamsaka. Asema Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani. Ataka CCM imdhibiti Rais Magufuli, asema wakishindwa wao wapinzani watamdhibiti