Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Magomeni: Basi Lingine la Mwendo Kasi Dar Lagongwa

Magomeni: Basi Lingine la Mwendo Kasi Dar Lagongwa

Picha
Basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya, Magomeni baada ya gari binafsi kupiga "u-turn" sehemu isiyoruhusiwa.