Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BOT Amatus Liyumba afariki dunia

Tanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BOT Amatus Liyumba afariki dunia

Picha
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peoni