Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya RONALDO ASUMBUA VICHWA VYA MABEKI

RONALDO ASUMBUA VICHWA VYA MABEKI

Picha
AMINI NYAUNGO Mara nyingi falsafa za mabeki huwa zinafanana Nadir Haroub “Canavaro” aliwahi kumkaba Samuel Et’oo pamoja na Didier Drogba wakati timu hizo zilivyokutana katika michezo yao na madhara hayakutokea. USIKU WA UEFA UMERUDI UEFA imerudi tena katika hatua ya nusu fainali ikiwa ni usiku wa Manchester City na Real Madrid, lakini Man City kama wakifika fainali basi itakuwa historia kwa kwa kuwa mara ya kwanza matajiri hao wa Jiji la Manchester kufika hatua hiyo. KOMPANY AMESEMAJE? Vicent Kompany amewaambia wachezaji wenzake kuwa wakitaka kupita hatua inayofuata inabidi wajipange kumkaba Cristiano Ronaldo ili wafanikishe azima yao, hiki alichokisema ndicho alichokifanya Nadir miaka iliyopita siku kadhaa zilizopita Thiery Henry aliwaasa wachezaji wa Manchester City kuwa wasitake kumkaba Ronaldo peke yake kuna wengine wakali zaidi wakisimama kwa Ronaldo watafungwa goli nyingi Henry kwa sasa ni mchambuzi kupitia kituo cha Sky sports. Mchezo huo utapigwa kwenye...