Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mwanamke Apatikana Hai Kwenye Vifusi Nairobi Siku Sita Baada ya Ghorofa Kuanguka

Mwanamke Apatikana Hai Kwenye Vifusi Nairobi Siku Sita Baada ya Ghorofa Kuanguka

Picha
Jengo hilo liliporomoka baada ya mvua kubwa kunyesha Ijumaa  Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.  Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma.  Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi  Idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 33.  Watu 80 kufikia sasa bado hawajulikani walipo.