sponsored post: Fahamu Kuhusu Misukule Wa Maofisini Na Jinsi Ya Kujikinga Usifanywe Msukule Wa Ofisini
Na. Dokta Mungwa Kabili...0744 000 473 SWALI : Mtaalamu, kwa heshima na taadhima ninaomba unisaidie suala langu. Mimi ni mwanamke mkaazi wa manispaa ya Nyamagana, jijini Mwanza, umri wangu ni miaka 37, mume wangu ana miaka 45 sasa. Tangu tumefunga ndoa, huu ni mwaka wa kumi na tano. Mimi nina jishughulisha na biashara ya ufundi cherehani. Mume wangu amesoma hadi Chuo Kikuu, amesomea mambo ya kompyuta. Tangu mwaka 2000 mume wangu amekuwa akifanya kazi kwenye Internet Café ya Muhindi . Hela anayo lipwa kidogo sana, na kutokana na uchapaji kazi wake, kampuni nyingi zimekuwa zikimfuata zikitaka ku...