Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KWA MARA YA KWANZA INIESTA AELEZEA CHANZO CHA BARCELONA ‘KUFELI’

KWA MARA YA KWANZA INIESTA AELEZEA CHANZO CHA BARCELONA ‘KUFELI’

Picha
Na Sharifa Hassan Mchezaji Bora wa Ulaya 2012 na fundi wa kuendesha timu  katika sehemu ya kiungo pia ni Mashine ya Barcelona, Andres Iniesta ameongea kwa mara ya kwanza mara baada ya kutupwa nje ya mashindano ya UEFA Champions Leaugue. Iniesta amesema timu hiyo imekosa kujiamini tangu waanze kupokea vichapo Mfululizo kutoka kwa Real Madrid, Real Sociedad pamoja na Atletico Madrid imewanyima umakini na kujiamini kama ilivyo zoeleka timu hiyo. HESHIMA YA INIESTA Mchezaji huyu ana Heshima yake pale Hispania kwa kupendwa hata na wapenzi wa Real Madrid kwa uzalendo alio nao haswa kutokuwa na Dharau. WASIFU Ni kiungo ambae amecheza Robo fainali nyingi za UEFA kuliko mchezaji yoyote ulaya BAADA YA VICHAPO HIVYO BARCA WAMEBAKI NA NINI Kombe la LA Liga pamoja na Copa De Lay ambayo bado hajatolewa mara nyingi Bingwa mtetezi tangu mwaka 1992 hajawahi kuchukua mara mbili hiyo ni historia ya UEFA League.