Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mitandao yaharibu soko la magazeti

Mitandao yaharibu soko la magazeti, takwimu zaonyesha magazeti yanapitwa na wasomaji wa mitandao

Picha
Vyombo vya habari vya asilia hususani magazeti vinakufa. Hivi sasa vvyombo hivyo vinajikongoja kutokana na mauzo hafifu  na mdororo wa mapato kutoka matangazo na kupunguza wafanyakazi. Ila wakati idadi ya wasomaji wa habari mtandaoni ikizidi kukua, wanaoperuzi mtandaoni  humo hawatumii muda mwingi kwenye magazeti tando, utafiti wa  Pew Research Centre  unaeleza.  Katika utafiti wake wa hali ya vyombo vya habari 2015 (“ State of the News Media 2015,” ) imeonesha kwamba katika vyombo vya habari vya karatasi (print media), Digitali na TV, imeonesha Dhahiri kwamba magazeti yanaelekea kuzimu. Utafiti huo umetolea mfano magazeti makubwa ambapo wasomaji wake wa mtandaoni wamewashinda kwa mbali kwa idadi ya wasomaji wa makaratasini, ambapo gazeti kubwa sana la New York Times la Marekani limetangaza kuwa nakala zake zipatazo 650,000 kwa wiki zimepitwa kwa mbali sana na wa mitandaoni Hivi sasa kuna mjadala mitandaoni endapo kama Tanzania iko ama itafika...