Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mbinu 5 Za Kugeuza Mwonekano Wako Wa Mwili Ili Ugeuke Sumaku Kwa Wanawake

Mbinu 5 Za Kugeuza Mwonekano Wako Wa Mwili Ili Ugeuke Sumaku Kwa Wanawake

Picha
Katika posts zetu za awali tumekuwa tukisistiza ya kuwa mwonekano wako si muhimu sana wakati wa kutongoza. Lakini je ukipatana na mwanamke ambaye kila wakati unapojaribu kumtongoza na kumshawishi anakuwa na maringo? Geuza na kuongeza mwonekano wako wa mwili ghafla! Well, najua wakati ambapo unaaproach mwanamke mara ya kwanza fikra inayokuja ya kwanza ni kuwa mwanamke kama huyu asikuhukumu na vile ulivyovalia ama mwonekano wako bali aangalie tabia na maneno yako matamu ambayo utakuwa ukimwambia. Lakini kwa bahati mbaya ni kuwa wanawake wachache mno ambao wataangalia tabia yako, wengi huangalia mwonekano wako. Leo nimeamua kuandika post hii maksudi ili tuweze kuiteka hii asilimia kubwa ya wanawake ambao huangalia mwonekano wa mtu badala ya tabia. Twende zetu sasa. 1. Valisha utu wako Utu wako ndicho kigezo kikuu cha kupima vile ambavyo utavalia na wala si kuangalia nguo ambazo zinatrend wa maduka au soko. Ni mara ngapi ushawaona watu unaowajua wakivalia nguo flani halafu ukasema...