Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rais Magufuli Akutana Na Mabalozi Mbalimbali Pamoja Na Katibu Mtendaji Wa SADC Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Rais Magufuli Akutana Na Mabalozi Mbalimbali Pamoja Na Katibu Mtendaji Wa SADC Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke wakati wa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu kinachohusu masuala mbalimbali ya Ujerumani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Ikulu Balozi wa Uturuki hapa nchini Yasemin Aralp aliyefika kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli. Rais wa Jam...