Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MACHO YAKISUBIRI UTAMU WA EURO

MACHO YAKISUBIRI UTAMU WA EURO, MIGUU IKITABASAMU KULE AMERICA KUSINI

Picha
Na Brian Marian Mrope (Gascoigne Brian) Moja kati ya vitu ambavyo nimefurahi kuvisikia katika masikio yangu ni kuhusu michuano ya Euro na Copa America. Vimekuja katika kipindi kizuri hasa sisi wapenda soka. Ukiona kile kinacho endelea kule America hakika mpira una utamu wake katika miguu ya wacheza soka wenyewe.Natamani nimwone Rooney walau atukumbushe kitu katika kipindi chake cha upambanaji kidogo tunaweza iona Uingereza ikifanya kitu. Kule kwa watoto wa maskini America ubora wa vipaji vyao ndiyo furaha ya macho yetu. Mboni za macho yangu tayari zinasubiri utamu wa Euro kuona namna gani ukomavu wa Marcus Rashford ukiweza kufanya kazi. Waingereza wanaamini katika falsafa ndiyo maana mwanafalsafa wao mmoja aliwahi kusema IT IS BETTER TO FAIL IN ORIGINALITY THAN TO SUCCEED IN IMMITATION (BORA KUSINDWA KWA UHALISIA KULIKO KUSHINDA KWA KUIGA) Waingereza wanaamini hivyo kupitia miguu ya Rooney na uchanga wa Rashford katika michuano yao. Anachoendelea kukifanya Mexico kule A...