Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HIZI NDIYO SABABU 4 MUHIMU ALIZOZIKWEPA AVEVA KUANGUKA KWA SIMBA

HIZI NDIYO SABABU 4 MUHIMU ALIZOZIKWEPA AVEVA KUANGUKA KWA SIMBA

Picha
Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu Simba kuboronga kwenye mashindandao ya msimu huu (VPL na FA Cup) kushoto ni Haji Manara-ofisa habari wa Simba Na Baraka Mbolembole Mwanzoni mwa wiki hii rais wa klabu ya Simba SC, Evance Aveva alikutana na wana habari na kuelezea matatizo makubwa zaidi manne ambayo yamechangia timu hiyo kushindwa katika matarajio yao ya kushinda taji lolote kati ya FA Cup na ligi kuu Tanzania bara inayotaraji kufunga msimu siku ya Jumapili hii. Aveva alitoa sababu nne (4) Kwanza, ‘Wachezaji wameiangusha Simba, Pili, ‘Ushindani Mkubwa katika ligi, Tatu, ‘ Utendaji mbovu wa TFF’ Nne, ‘Waamuzi.’ Hotuba yake mimi naweza kuiandika kwa dakika kumi tu. Nimekuwa kimya lakini si kwamba siwezi kuijibu. Asilimia fulani ya wana Simba hivi sasa wanaamini na kufahamu matatizo yaliyoiangusha timu yao kwa mara nyingine msimu huu. Lakini kinachonisikitisha ni taarifa yenyewe ambayo l...