Pichaz: Check uzinduzi wa ‘Chura’ ulivyotia fora Maish
Mwanamuziki Snura Mushi akifapomu ngoma yake mpya ya Chura wakati wa uzinduzi wa video hiyo usiku wa kuamkia jana ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement, Kijitonyama jijini Dar. Snura na madansa wake wakimwaga ‘nyuki’ ndani ya Maisha Basement wakati wa uzinduzi wa video ya Chura. Uzinduzi wa Chura ukiwa umepamba moto. Mashabiki wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa Chura. Wanenguaji wa Snura wakionyesha vimbwanga vyao wakati wa uzinduzi wa Chura.