PROSTATE GLAND (TEZI DUME) TATIZO SUGU KWA WANAUME
-Hii ni tezi ya wanaume yenye sifa zifuatazo.~Ina umbo km yai(oval shape)~Ina ukubwa wenye vipimo hivi, upana 4cm na unene 3cm ingawaje hivi vipimo vinatofautiana kwa kila mwanaume.~Tezi hii ipo inazunguka shingo ya kibofu cha mkojo na kuzunguka mrija unaopeleka mkojo nje(urethra)~Tezi hii hua yenye ukubwa wa kawaida lakini huongezeka ukubwa kadri ya umri.~Tezi hii hutengeneza majimaji yenye rutuba ya mbegu za kiume(shahawa)SEHEMU KUU ZA TEZI YA KIUME1.PERIPHERAL ZONE(SEHEMU YA NJE)~Hii ni sehemu ya nje ya tezi ambayo madakari wengi hutumia hii tezi kubaina kama kuna tatizo kwenye tezi kwani ni virahisi kiugusa km daktari akiingiza ikiingiza index fingure(kidole cha kusontea) kwenye njia ya haja kubwa. Kukua kwa sehemu hii hakuwezi kuathiri utokaji wa mkojo.2. TRANSITIONAL ZONE(SEHEMU YA KATI)~ Hii ni sehemu ya tezi ambayo ikikua yani ikiongezeka ukubwa tunasema KUVIMBA KWA TEZI TUME kitalamu BENIGN PROSTATIC HYPERPLASIA (BPH) kuna uwezekano mkubwa wa tezi dume iliyovimba kuzuia njia y...