Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Uzuri wa Mume ni Nini?

MAISHA: Uzuri wa Mke ni Tabia. Je, Uzuri wa Mume ni Nini?

Picha
Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.  Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.  Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.  Nawasilisha.