Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Adai Mkongo Alimpiga Picha za Uchi ili Asimuache

Wolper Aeleza Yaliyomkuta Mpaka Akampiga Chini Mkongo, Adai Mkongo Alimpiga Picha za Uchi ili Asimuache

Picha
Wopler na mpenzi wake wa zamani. Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka na kuzungumzia sababu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye alimvalisha pete ya uchumba pamoja na kwenda kwao kwa ajili ya maandalizi ya kumtolea mahari ili amuoe. Muigizaji huyo ambaye amekiri kutoka kimapenzi na Harmonize wa WCB, amekiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV kuwa, Mkongo huyo ambaye alimvalisha pete ya uchumba, alikuwa ana mke pamoja na mtoto na pia alimfanyia kitendo cha kinyama cha kumrekodi picha za uchi ili asimuche. “Mimemvumilia kumkuta na picha zangu za uchi, video zangu za uchi,” alisema Wopler huku akilia. “Nikiongelea nimezionaje nitakuwa namvunjia heshima, kwa sababu kuna kitu kibaya alikifanya. Kuna matatizo ambayo yalitokea nikawa namkwepa, niligundua ana matatizo mengi nikawa namkwepa, nilikuwa na stress nikawa nalewa sana, nalewa mpaka nazima. Sasa siku ambayo nimelewa sana mpaka nimezima akaambiwa nilipo, nilikuwa nipo mimi, dada yangu mmoja pam...